Breaking Through Barriers hulenga kusaidia kuhakikisha kwamba watu walio na unyogovu wanaosumbuliwa na dalili za mhemko na za kimwili wametambuliwa na kutibiwa vizuri kama iwezekanavyo Terms of use- Breaking Through Barriers hulenga kusaidia kuhakikisha kwamba watu walio na unyogovu wanaosumbuliwa na dalili za mhemko na za kimwili wametambuliwa na kutibiwa vizuri kama iwezekanavyo

Masharti ya Matumizi

Habari zilizotolewa kwenye tovuti hii zimetolewa katika mfumo wa muhtasari, kwa asili ni za kijumla, na zimetolewa kwa madhumuni ya habari tu. Habari kwenye tovuti hii zimekusudiwa kwa madhumuni ya kuwasaidia wagonjwa na washirika wa familia zao tu ili waweze kuelewa vyema hali zingine za afya na chaguzi za utabibu. Maudhui hayajakusudiwa kwa njia yoyote ile kubadilisha ushauri wa mtaalamu wa utabibu na hayapaswi kufasiriwa kama mapendekezo ya utabibu. Ni daktari ambaye amekuwa na nafasi ya kuingiliana na mgonjwa binafsi, anayeweza kufikia rekodi za wageni na nafasi ya kumfuatilia inavyofaa baadaye, anaweza kutoa mapendekezo ya utabibu.

Daima tafuta ushauri wa daktari wako au mtoa huduma ya afya aliyehitimu ukiwa na maswali yoyote unayoweza kuwa nayo kuhusu hali ya utabibu. Si maudhui au huduma yoyote inayotolewa au kupitia tovuti hii imekusudiwa kutegemewa kwa utambuzi wa utabibu au matibabu, bila kuingiliwa kwa daktari na kuhusika kwake. Usiwahi kupuuza ushauri wa utabibu au kuchelewa kuutafuta kwa sababu ya kitu ulichosoma kwenye tovuti hii.

TOVUTI HII NA MAUDHUI YAKE YAMETOLEWA “KAMA YALIVYO”. SHIRIKISHO LA AFYA YA AKILI DUNIANI, LILLY NA BOEHRINGER INGELHEIM, WATOA LESENI WAO, NA WATOA HUDUMA WAO, KWA RUHUSA YOTE ILIYOTOLEWA NA SHERIA, WANAKANUSHA THIBITISHO ZOTE, AIDHA ZILIZOELEZWA AU KUDOKEZWA, ZA KISHERIA AU ZINGINE, PAMOJA NA, LAKINI HAIJAZUILIWA KWA THIBITISHO ZILIZODOKEWA ZA UUZAJI, KUTOKIUKA HAKI ZA MTU WA TATU, NA UFAAJI WA MADHUMUNI MAALUM. HASWA, SHIRIKISHO LA AFYA YA AKILI DUNIANI, LILLY NA BOERINGER INGELHEIM, WATOA LESENI WAO, NA WATOA HUDUMA WAO HAWAWAKILISHI AU KUTHIBITISHA KUHUSU USAHIHI, UTEGEMEAJI, UKAMILIFU, UUPYA, AU WAKATI UNAOFAA WA MAUDHUI, RATIBA, MAANDISHI, MICHORO, VIFAA, VIUNGO, AU MAWASILIANO YALIYOTOLEWA KUPITIA UTUMIAJI WA TOVUTI HII AU SHIRIKISHO LA AFYA YA AKILI DUNIANI, LILLY NA BOEHRINGER INGELHEIM.

HAKUNA WAKATI WOWOTE SHIRIKISHO LA AFYA YA AKILI DUNIANI, LILLY NA BOEHRINGER INGELHEIM, WATOA LESENI WAO, WATOA HUDUMA WAO, AU MTU YEYOTE WA TATU ALIYETAJWA KWENYE TOVUTI HII ATAWAJIBIKA KWA HASARA YOYOTE (PAMOJA NA, BILA KIZUIZI CHA, HASARA YA KAWAIDA NA INAYOFUATIA, KUUMIA KIBINAFSI, KIFO CHA KIMAKOSA, FAIDA ZILIZOPOTEA, AU HASARA ZINAZOTOKANA NA KUPOTEZA DATA AU KUSUMBULIWA KIBIASHARA) INAYOTOKEA KUTOKANA NA KUTUMIA AU KUTOWEZA KUTUMIA TOVUTI HII AU MAUDHUI YAKE, IWE KWENYE THIBITISHO, KANDARASI, KOSA LA DAWA, AU NADHARIA ZINGINE ZOZOTE ZA KISHERIA, NA KAMA SHIRIKISHO LA AFYA YA AKILI DUNIANI, LILLY NA BOEHRINGER INGELHEIM WAMESHAURIWA AU LA JUU YA UWEZEKANO WA HASARA KAMA HIZO.

Kama habari kwa wageni wetu, tovuti hii hutoa viungo kwa tovuti zingine. Walakini, kwa sababu hatudhibiti maudhui ya tovuti zile zingine tunazoweza kuunganisha, na kwa sababu ya hali yao ya kubadilika kila wakati, hatuwezi kuwajibika kwa maudhui yao, kazi au viwango vya tovuti ambavyo si vya Shirikisho la Afya ya Akili Duniani, Lilly au Boehringer Ingelheim. Shirikisho la Afya ya Akili Duniani, Lilly na Boehringer Ingelheim haziidhinishi maudhui na haziwajibiki kwa sera ya siri ya tovuti zozote za mtu wa tatu. Shirikisho la Afya ya Akili Duniani, Lilly na Boehringer Ingelheim haziwajibiki kwa maudhui ya tovuti za mtu wa tatu zilizounganishwa, tovuti zilizowekwa kwenye tovuti, au matangazo ya mtu wa tatu, na hazifanyi uwakilishi wowote kuhusiana na maudhui yao au usahihi. Utumiaji wako wa tovuti za mtu wa tatu ni juu yako mwenyewe na ni kulingana na masharti na sheria za matumizi za tovuti kama hizo.

Unapokuwa ukitumia tovuti hii, habari zitapitishwa kwa chombo ambacho ni zaidi ya udhibiti na mamlaka ya Shirikisho la Afya ya Akili Duniani, Lilly na Boehringer Ingelheim na watoa huduma wao. Vivyo hivyo, Shirikisho la Afya ya Akili Duniani, Lilly na Boehringer Ingelheim haichukui uwajibikaji unaohusiana na kuchelewa, ukosefu, usumbufu, au uharibifu wa data yoyote au habari zingine zilizopitishwa zinazohusiana na utumiaji wa tovuti hii.

Tovuti hii ya Lilly iko Afrika Kusini. Tovuti hii imekusudiwa kutumiwa na wakaazi wa Marekani au Briteni. Ufikiaji wa maudhui unawezakuwa si halali kwa watu wengine au nchi zingine. Ikiwa unafikia tovuti hii kutoka Marekani au Briteni, ni juu yako mwenyewe kufanya hivyo na unauwajibikaji wa kufuata sheria za mamlaka yako.

Masharti haya ya Kijumla ya Matumizi yamesimamiwa na sheria muhimu za ndani ya Jimbo la Indiana, bila kutegemea kuingiliana na kanuni zake za kisheria. Ikiwa toleo lolote la Masharti haya ya Kijumla ya Matumizi imepatikana haitumiki na korti yoyote iliyo na mamlaka mazuri, kutotumika kwa toleo hilo hakutaathiri kutumika kwa toleo zilizosalia za Masharti haya. Unakubali waziwazi kwamba utekelezaji maalum wa kisheria wa mzozo wowote na Shirikisho la Afya ya Akili Duniani, Lilly na Boehringer Ingelheim, au kwa njia yoyote ili inayohusiana na utumizi wa tovuti hii, utakuwa katika korti za Jimbo la Indiana.

Isipokuwa kama ilivyotolewa waziwazi katika “ilani ya kisheria" kwenye tovuti hii, Masharti haya ya Kijumla ya Matumizi yanajumuisha makubaliano yote kati yako na Shirikisho la Afya ya Akili Duniani, Lilly na Boehringer Ingelheim kulingana na matumizi ya Tovuti hii, na maudhui. Utumiaji wako wa Tovuti hii pia ni kulingan na Sera ya Hakimiliki na Taarifa ya Siri .