Kutambua Unyogovu
Mojawapo ya dalili za kawaida kabisa za unyogovu ni hisia kali ya upweke au huzuni. Kinachoweza kushangaza ni kwamba watu wengi pia wana dalili za kimwili pamoja na za mhemko – kwa mfano, kuumwa na mgogo kila wakati au kuchoka.
Kwa ujumla, ikiwa Mwenza wako amekuwa na mojawapo ya dalili zozote zinazofuata za mhemko au za kimwili kwa zaidi ya wiki mbili, na waziwazi zinatatiza maisha yake, unapaswa kujadili kuzihusu na daktari wake:
| Mhemko | Kimwili |
|---|---|
Huzuni siku nzima, karibu kila siku |
Kuchoka au ukosefu wa nguvu |
Hisia ya upweke au kutokuwa na tumaini |
Kulala sana au kidogo sana |
Kuhisi ufadhaiko, wasiwasi au umejawa na hisia |
Mabadiliko ya hamu ya chakula au uzito |
Kupoteza tamaa au ufurahii shughuli zako uzipendazo |
Fadhaa au wasiwasi |
Matatizo ya kuzingatia au kufanya maamuzi |
Uchungu na kuumwa bila sababu |
Hisia za kutokuwa na dhamana au kujichukia |
Kuumwa na kichwa |
Hisia nyingi au zisizofaa za hatia |
Uchungu wa mgongo |
Kuwashwa au kutotulia |
Matatizo ya mmengenyo wa chakula |
Mafikira ya kifo au kujiua |
Kizunguzungu
|
Ukosefu wa tamaa ya ngono |
|
Kuliag |
