Orodha ya kuangalia dalili
Orodha hii, iliyotengenezwa na wataalamu kutoka Chuo kikuu cha Michigan, kinaeleza dalili nyingi za kawaida za unyogovu 1.
Ukiamua kujadili dalili zako na daktari wako, unaweza kutumia ukurusa huu kwa habari - tia alama nafasi zote zinazotumika.
Rejeleo
- The World Health Report 2001. Mental Health : New Understanding, New Hope. World Health Organisation, Geneva, Switzerland. Inapatikana kwa: http://www.wfmh.org/documents/WHDR606.pdf
