Breaking Through Barriers hulenga kusaidia kuhakikisha kwamba watu walio na unyogovu wanaosumbuliwa na dalili za mhemko na za kimwili wametambuliwa na kutibiwa vizuri kama iwezekanavyo Information for people with depression- Breaking Through Barriers hulenga kusaidia kuhakikisha kwamba watu walio na unyogovu wanaosumbuliwa na dalili za mhemko na za kimwili wametambuliwa na kutibiwa vizuri kama iwezekanavyo

Je! mimi nina unyogovu?

Mojawapo ya dalili za kawaida kabisa za unyogovu ni hisia kali ya upweke au huzuni. Kinachoshangaza ni kwamba watu wengi pia wana dalili za kimwili pamoja na za mhemko – kwa mfano, kuumwa na mgogo kila wakati au kuchoka.

Kwa ujumla, ikiwa umekuwa na mojawapo ya dalili zozote zinazofuata za mhemko au za kimwili kwa zaidi ya wiki mbili, na waziwazi zinatatiza maisha yako, unapaswa kujadiliana kuzihusu na daktari wako:

Mhemko Kimwili
Huzuni siku nzima, karibu kila siku
Kuchoka au ukosefu wa nguvu

Hisia ya upweke au kutokuwa na tumaini

Kulala sana au kidogo sana

Kuhisi ufadhaiko, wasiwasi au umejawa na hisia

Mabadiliko ya hamu ya chakula au uzito

Kupoteza tamaa au ufurahii shughuli zako uzipendazo

Fadhaa au wasiwasi

Matatizo ya kuzingatia au kufanya maamuzi

Uchungu na kuumwa bila sababu

Hisia za kutokuwa na dhamana au kujichukia

Kuumwa na kichwa

Hisia nyingi au zisizofaa za hatia

Uchungu wa mgongo

Kuwashwa au kutotulia

Matatizo ya mmengenyo wa chakula

Mafikira ya kifo au kujiua

Kizunguzungu

 

Ukosefu wa tamaa ya ngono

Kuliag

Orodha ya kuangalia dalili