Wadhamini
Breaking Through Barriers imedhaminiwa na Shirikisho la Afya ya Akili Duniani (WFMH), Eli Lilly and Company na Boehringer Ingelheim, na inasaidiwa na mashirika ya wagonjwa kila mahali Uropa na Amerika ya Kusini.
Shirikisho la Afya ya Akili Duniani (WFMH) lilianzishwa mnamo 1948 ili kuboresha uzuiaji wa matatizo ya akili na mhemko, kuwapa matibabu na ulezi halisi kwa wale walio na shida kama hizo, na ukuzaji wa afya ya akili. (WFMH) ni shirika la kimataifa lisilo la kiserikali ambalo linawanachama na mawasiliano katika nchi 112 katika bara sita. Uwanachama wa kibinafsi na mpangilio wa Shirikisho unajumuisha wafanyakazi wa afya ya akili wa aina yote, watu walio na unyogovu, washirika wa familia na watoa huduma na imesimamiwa na kamati ya wakugurenzi waliojitolea kutoka nchi 17, na kusimamiwa na makatibu. Imesifiwa kwa hali yake ya kushauri Umoja wa Mataifa na vyombo vyake maalumu, na hufanyakazi kwa karibu na World Health Organization (Shirika la Afya Duniani)
Lilly, shirika linaloongoza linaloendeshwa na uvumbuzi, linaanzisha jalada la bidhaa za madawa bora kwa kutumia uchunguzi mpya kabisa kutoka kwa maabara yake ulimwenguni kote na kutoka kwa kushirikiana na mashirika maarufu ya kisayansi. Makao yake makuu yakiwa Indianapolis, Indiana, Lilly hutoa majibu - kupitia kwa madawa na habari - kwa baadhi ya mahitaji ya haraka ya kimatibabu ulimwenguni. Habari zaidi kuhusu Lilly zinapatikana kwa www.lilly.com.
Kampuni ya Boehringer Ingelheim ni mojawapo ya makampuni 20 ya madawa yanayoongoza ulimwenguni. Makao yake makuu yakiwa Ingelheim, Ujerumani, hufanyakazi ulimwenguni na ina washirika 143 katika nchi 47 na karibu wafanyakazi 37,500. Tangu kuanzishwa kwake mnamo 1885, kampuni iliyomilikiwa na familia imejitolea kufanya utafiti, kukuza, kutengeneza na kuuza bidhaa mpya za dhamana ya juu za madawa ya kubonya kwa wanadamu na wanyama. Kwa habari zaidi tafadhali tembelea www.boehringer-ingelheim.com.



